Msanii wa Burundi Kidum, anahitaji kufanyiwa upasuaji


Mwanamuziki aliyeiteka Afrika Mashariki na ngoma kama ‘Nitafanya’ akiwa na Lady Jay Dee aka Anaconda, Kidum toka Burundi anaumwa na anahitaji kufanyiwa opasuaji.
Kwa mujibu wa Standard Digital, Kidum ameeleza hayo katika mahojiano aliyofanya Sofia Wanuna wa KTN, lakini hakutaja kinachomsumbua na kumfanya ahitaji kufanyiwa upasuaji.
“Sitaki kuwapa mapararazzi maelezo kama hivi waandike gossip kuhusu hili. Lakini ninahitaji kufanyiwa upasuaji.” Amesema Kidum
Previous
Next Post »