Katika taarifa iliyooneshwa na runinga ya Star-Tv, Dk Kabangila amesema kuwa kwa mujibu wa sheria, imembidi kuamua kufanya lililo sahihi na sasa amejiunga rasmi ili kupata wigo mpana wa kupigania maslahi ya fani, madaktari na wananchi.
Katibu wa Chama cha Madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA
Katika taarifa iliyooneshwa na runinga ya Star-Tv, Dk Kabangila amesema kuwa kwa mujibu wa sheria, imembidi kuamua kufanya lililo sahihi na sasa amejiunga rasmi ili kupata wigo mpana wa kupigania maslahi ya fani, madaktari na wananchi.
EmoticonEmoticon