Collabo ya Shakira na Rihanna yanukia you can Imagine


Kuna uwezekano mkubwa wa wanamuziki warembo, Shakira  na Rihanna kufanya collabo tangu tetesi hizo kusambaa wiki iliyopita kwenye jarida la nchini Colombia.
Kuna taarifa kuwa Shakira ambaye kwa sasa ni mama yupo jijini Los Angeles ambako anashoot video na Rihanna.
Tweet ya ya msichana aitwaye Alexita Ortiz ilisomeka: “Working on set with Shakira:) As her stand in for the new music video featuring Rihanna”.
Naye Shakira alitweet: I Just finished the video for my first single with director Joseph Kahn!
Hii itakuwa ni collabo kubwa ya Shakira tangu alipoimba na Beyonce wimbo wao ‘Beautiful Liar’.
Previous
Next Post »