Hatimaye Chuck Norris ajibu mapigo ya Van Damme kwa kutengeneza tangazo la kusimama juu ya ndege 2 lenye mfano wa mti wa Chrismas
Mara ya kwanza muigizaji mkongwe Jean-Claud 'Van Damme' alipotengeneza tangazo la Volvo kusimama katikati ya magari mawili makubwa ya Volvo juu ya side mirrors,mguu wa kushoto ukiwa kwenye gari moja na wa kulia kwenye lingine habari iliwashangaza watu wengi sana huku wengi wakijiuliza maswali.
Sasa basi leo nimekutana na tangazo la msanii mwingine mkongwe Chuck Norris akiwa amejibu mapigo ya Van Damme kwa kutengeneza tangazo la salaam za Christmas huku akiwa amesimama katikati juu ya ndege mbili kichwani kwake kukiwa na wanajeshi 11.

EmoticonEmoticon