Mshambuliaji wa timu ya soko ya taifa,Taifa Stars na Mchezaji wa Yanga Mrisho Ngasa amenaswa live akiwa na muimbaji wa majanga “Snura Anton Mushi”. Bado haijajulikana wazi kama mastaa hao wawili wanauhusiano wa kimapenzi au labda wanaigiza movie?
Mastaa hao wawili walinaswa live wakiwa kwenye nyumba ya Snura Anton Mushi iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Mastaa hao wawili walinaswa live wakiwa kwenye nyumba ya Snura Anton Mushi iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon