MWENEKITI WA SIMBA RAGE ASIMAMISHWA SIMBA



Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku, imemsimamisha kazi Mwenyekiti Ismail Aden Rage.
Rage amesimamishwa kazi kutokana na masuala kadhaa, lakini kubwa imeelezwa ni suala la mauzo ya mchezaji Emmanuel Okwi.
Previous
Next Post »