KIBADENI, JULIO WATIMULIWA SIMBA



Makocha wa Simba SC, Abdallah Kibadeni na msaidizi wake, Jamhuri Kiwhelo (Julio) wameondolewa kazini baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi kwamba wawili hao utendaji wao si sahihi. Tayari Simba imekamilisha mazungumzo na kocha mwingine mzungu, si yule Bobby Willliamson ambaye aliandikwa na gazeti moja nchini kwamba ndiye kocha mpya wa Simba.
Previous
Next Post »