BABA MZAZI WA WEMA SEPETU AFARIKI DUNIA





Taarifa za awali zinasema kuwa,Balozi Sepetu alikuwa amelazwa katika hospital ya TMJ alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi uliokuwa ukimsumbua.

Hadi Mauti yanamkuta,Balozi Isaac Sepetu alikuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar.

Tunaungana na Waombolezaji wote wa Msiba huu na Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu,Aiweke Mahala Pema Peponi Roho ya Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu.

Blog hii inatoa pole kwa Wema na familia yake katika kipindi hiki kigumu.
Previous
Next Post »