Mbunge wa kigoma kaskazini bwana Zitto
Kabwe kafichua siri nzito na kudai hana mpango wa kugombea urais mwaka
2015 na wala hatagombea ubunge ila anataka kutafuta chuo na awe mwalimu
wa chuo na analenda sasa kufundisha maswala ya uchumi na mazingira ndio
dhamira yake.
EmoticonEmoticon