THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
|
Telephone: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
Fax: 255-22-2113425 |
|
PRESIDENT’S OFFICE,
THE
STATE HOUSE,
P.O. BOX
9120,
DAR
ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kesho,
Jumatano, Agosti 22, 2013 mjini Harare.
Rais
Kikwete na ujumbe wake ameondoka nchini jioni ya leo, Jumatano, Agosti 21,
2013, kwenda Harare kuhudhuria sherehe hizo zinazofuatia ushindi wa Rais Mugabe
na chama chake cha ZANU-PF katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini humo Julai
31, mwaka huu, 2013. Katika uchaguzi huo, Rais Mugabe alipata asilimia 61 ya
kura zote.
Imetolewa na:
Kurugenzi
ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar
es Salaam.
21 Agosti,
2013

EmoticonEmoticon