
Vitendo
vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii
wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa miaka 19 na mwingine ana umri
wa miaka 20 wote wawili wamekamatwa kwenye airport ya Lima nchini Peru
wakijaribu kusafirisha mzigo huo. Passport za mabinti hao zinawatamburisha kama
raia wa uingereza na huko ndiko mzigo huo ulikuwa unaelekea.
Baada
ya kukamatwa na polisi mabinti hawa Mellisa 19 na Michaella 20, walikubali kosa
hilo la kujaribu kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Cocaine na hadi hivi
sasa wapo kwenye mikono ya polisi.
EmoticonEmoticon