Nini ni hasa ambacho kinaweza ingia akilini kwako kutokana na kitendo
cha waschana hawa kuamua kutembea mitaani wakiwa wamevaa pea ya jeans,
viatu virefu na sidiria pekee....?
Hakika si kitu kingine bali ni moja kati ya sehemu za promosheni ya aina mpya ya InvisaBra ambayo haina mikanda au kamba za kushikilia (strapless, backless brá) ikifahamika kuwa moja kati ya aina ya sisiria iliyochota mioyo ya wanawake wengi Duniani kwa sasa.
Wiki iliyopita mitaa ya Regent, jijini London ilikumbwa na kisanga hiki ikishuhudia wasichana wapatao kumi hivi wakionekana kupita mitaa hiyo huku wakiwa wamevaa viatu virefu, jeans za blue na sidiria hizo.

EmoticonEmoticon