Kampuni ya Blackberry ipo mbioni kuuzwa kutokana na kushindwa kuhimili ushindani
Kampuni ya BlackBerry
Ltd. Imesema inafikiria kujiweka sokoni iuzwe. Uamuzi huo unatokana na
kuwepo ushindani mkubwa sokoni na hivyo kupelekea kushuka kibiashara.
Bodi maalum ya kampuni hiyo inapanga njia za kuongeza thamani ya
BlackBerry kwa kutafuta ushirikiano na makampuni mengine ama kuiuza
kabisa.
EmoticonEmoticon