DIAMOND AKODISHA PRIVATE JET BAADA YA KUKWAMA NAIROBI




Cocacola-diamond 

 Baada ya kukwama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jommo Kenyatta, Msanii machachari hapa nchi anae sifika kwa kua na pesa nyingi amekodishiwa ndege binafsi na kampuni ya coca cola..

Diamond Plutnumz ni balozi wa coca cola.....

Diamond aliweka katika mtandao wa instagram na kuweka maneno haya
Had no choice than dat coz I miss my mum and baby lyk crazy.... @Wilson Airport Nairobi...I cant wait to see you #rammyjones #myself#AloneInTheJet#coca boy.....#coca cola mmetisha sana asanteni sana
Previous
Next Post »