Swahili Radio baada ya kupokea maombi mengi ya wasikilizaji wetu kutoka
sehemu mbalimbali duniani, tunapenda kuwatangazia kuwa Radio yetu kwa
sasa inapatikana bila mkwaruzo katika simu za viganjani za iPhone,
Blackberry, Android phones na katika kila kifaa chenye internet duniani.
Endelea Kuangalia Swahili TV na kusikiliza Swahili Radio. Jinsi ya
kutupata
1. Download Tunein (Tunein ni neno moja usiache nafasi) Tunein Radio app
kwa simu yako mfano; iphone, ipad,ipod,android au Blackberry
2. Baada ya ku-download , open app na nenda kwenye browser na andika neno swahili radio kisha search.
3. Ukiona logo yetu ya swahili radio bofya na sikiliza.
TUNAPATIKANA HEWANI MASAA 24 TUKIWATANGAZIA KUTOKA JIJINI WASHINGTON D.C. TUKIWA KATIKA MAJARIBIO

