Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa nje ya nyumba ya Rais wa Kwanza
mzalendo Nelson Mandela jijini Johannesburg, Afika ya Kusini. Kutoka
kushoto ni Festo Sikagonamo (ITV), Albano Midelo (Nipashe), Phinias
Bashaya (Mwananchi), Lilian Shirima (TBC 1) na Alex Magwiza (TBC Taifa).
Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa nje ya jengo la Makumbusho ya Ubaguzi wa Rangi
Festo Sikagonamo akiangalia kwa umakini kitanda kilichokuwa kikitumiwa na Mzee Nelson Mandela
EmoticonEmoticon