TAZAMA VIDEO BABA AMUUA MWANAE NA KUNYWA DAMU YAKE

Jamaa amuua mwanawe na kunywa damu yake,kisii

Mtoto wa mwaka mmoja unusu amepatikana ameuawa nyumbani kwao katika kaunti ya kisii.inadaiwa kwamba mtoto huyo aliuawa na babake ambaye alitoroka baada ya kutekeleza unyama huo.majirani wanadai kwamba baada ya kumtoa uhai mwanae mshukiwa huyo kwa jina nyamohanga sapati alikunywa damu ya mwanae .maafisa wa polisi kaunti ya kisii wameanzisha msako wa kumtafuta jamaa huyo.

Previous
Next Post »