Tazama jinsi Chris Brown alivyofanya gari yake

GARI
Gari jipya la kifahari la Chris Brown aina ya Lamborghini Aventador baada ya kupigwa rangi lifanane na raba zake.
RABA
Raba alizonunua hivi karibuni aina ya Nike Air Foamposites.
GARI AWALI
Gari hilo la kifahari lilivyokuwa wakati akilinunua.
Previous
Next Post »