Rais Jakaya Kikwete Akutana na Wachezaji wa Timu ya Taifa(Taif Stars)Nakuwatakiwa Heri Kwenye Mpambano Wao na The Cranes Nchini Uganda


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars aliokutana nao Uwanja wa ndege wa Mwanza jana  Julai 24, 2013 wakati yeye akielekea Bukoba na Taifa Stars wakiwa wamemaliza kambi na sasa wanaelekea Uganda kupambana na The Cranes katika mechi ya marudiano ya CHAN.
 
Picha na IKULU
Previous
Next Post »