MAAJABU JOGOO ASIYE NA KICHWA ATEMBEA MTAANI
Wakazi wa Kware eneo la Ongata Rongai katika Kajiado, huko Kenya wameshangazwa na kuwa na mshtuko baada ya kumuona juu jogoo aliyekatwa kichwa akikatiza mtaani na wao wanadhani alabda katumika kwa madhumuni ya uchawi.
J ogoo huyo ambaye alionekana bado kuwa na nguvu za kutembea pamoja na hali hiyo alionwa nyakati za majira ya jioni na baadhi ya wapita njia
Rachel Danson, mkazi wa Kware, ambaye ana duka karibu na jogoo huyo asiye na kichwa alipopatikana alisema kuwa asubuhi yake alikuta karatasi nyeupe ya lailoni imewekwa karibu na duka lake
Hata hivyo anasema yeye hakusumbuka kufungua kikaratasi hicho sababu alijua tu ni taka ambazo zimetupwa tu hapo kando ya barabara labda na wapita njia.
EmoticonEmoticon