Vuta picha pale ambapo kila Waumini wanapokwenda kwenye misa
wanapanda boti, vuta picha hili kanisa pembeni tu ya majengo yake kuna
maji…. hakuna hata ardhi ya kuonyesha kwamba limejengwa juu yake… vuta
picha pale upo katikati ya ibada alafu unakumbuka uko kwenye jengo
lililo juu ya maji…..
Unaambiwa kanisa hili liko San Giorgio Maggiore nchini Italia kwenye mji wa Venice.
EmoticonEmoticon