Uncategories
HICHI NDICHO KILICHOMPATA KANYE BAADA YA KUMSHAMBULIA PAPARAZI
HICHI NDICHO KILICHOMPATA KANYE BAADA YA KUMSHAMBULIA PAPARAZI
Anonymous
06:52
Baada ya rapa nguli wa Marekani Kanye West, kumshambulia paparazi amekabiliwa na shitaka la mashambulizi.
Kanye West alimsukuma chini paparazi akiwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Los Angeles baada ya kuchukizwa maswala ya mpiga picha huyo.
EmoticonEmoticon