HUYU NDIYE MWANAUME ALIYEKUTWA AKIMBAKA KUKU
Huyu ndie mwanaume mkenya wa miaka 40, Paul Nderitu kutoka Kigwandi huko Tetu, Nyeri amekutwa akifanya mapenzi na kuku .
MWANAUME HUYU ALIKUTWA AKIFANYA KITENDO HICHO CHA AJABU CHA KUMLAWITI KUKU NA MWANAE WA KIUME MWENYE MIAKA NA AKAMWAMBIA KAKA YAKE MKUBWA NDIPO WAKATOA TAARIFA KWA POLISI NA NDIPO ALIPOKAMATWA .NA MPAKA ANAFIKISHWA KITUO CHA POLISI KUKU HUYO ALIKUWA TAYARI AMEKUFA NA INASEMEKANA KUKU HUYO ALIPELEKWA KWENYE KLINIKI YA MIFUGO VETERINALY CLINIC KWA UCHUNGUZI ZAIDI
EmoticonEmoticon