Baadhi
ya wasanii wakiwa kwenye kazi za vikundi kwa majadiliano zaidi juu ya
semina semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji
na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina
iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya
umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na
kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Picha
mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii wanaoshiriki Semina ya wasanii wa
sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar
es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo
imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya
umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na
kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Baadhi ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina
Baadhi ya wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa kwenye semina hiyo.
Baadhi ya wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa kwenye semina hiyo.
Baadhi
ya wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai
zinazowasilishwa kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia
Tanzania (TGNP).
Baadhi ya watoa mada kwenye semina hiyo wakijadiliana jambo.
Mmoja wa watoa mada katika semina hiyo, Kenny Ngomuo (kulia mbele) kutoka TGNP akizungumza katika semina hiyo.
Kutoka
kulia ni baadhi ya waratibu wa semina hiyo kutoka TGNP wakiwa na
wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa
kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Mmoja
wa wasanii hao akiwasilisha mada ya kundi lao katika semina
iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya
umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na
kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Mkuu
wa kitengo cha habari na uhusiano wa TGNP, akizungumza katika semina
hiyo iliyofanyika makao makuu ya TGNP Mabibo Dar es Salaam.
Picha
ya pamoja ya washiriki wa semina ya wasanii wa sanaa za maigizo,
filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa
kwenye semina iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa
wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji
Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa
kijinsia.
EmoticonEmoticon