Waziri Mkuu Pinda amjulia hali Mbunge Joshua Nassari mjini Arusha.

 

IMG_1435

 

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa  kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMG_1437

 

IMG_1416

 

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole  Mbunge wa Viti Maalum Namelok Sokoinine aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mgoo akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMG_1422

Previous
Next Post »