HIKI NI KIPINDI AMBAPO KATIBU MKUU WA CHADEMA SIKU ALIPOKUWA ANAKULA KIAPO CHA MUNGU CHA KUWA PADRI MILELE.


DK SLAA ALIPOKUWA PADRI NA MTUMISHI WA MUNGU ALIPENDEZA SANA.
nawasihi ndugu zangu tukisha kula viapo vya kumtumikia M/Mungu tusije tukarudi nyuma,,,,,,,kwa umri mkubwa kiasi hiki na kwa heshima ya nafasi aliokuwa nayo kwa MUngu we unazani ni jambo la kawaida mpaka uzeeni kukosa mke?

tusicheze na MUNGU NDUGU ZANGU
angalieni picha hii
 
kumbe ulikuwa mtumishi wa Mungu
Previous
Next Post »