BILL CLINTON ADAIWA KUZAA NA CHANGUDOA



Rais wa zamani wa marekani, Bill Clinton, amejikuta kwenye mkasa mwingine baada ya mtoto wa mwanamke aliekua changudoa, Danny Lee Williams, kudai kua bill clinton ni baba yake. Mtoto huyo mwenye miaka 27 amemuomba Bill Clinton amkubali kama mzazi na amesema:
"I read he doesn’t have long to live and I want to meet him face to face before he dies,” 

“I just want to shake his hand and say, “Hi Dad,’ before he dies. I’d like to have a relationship with Chelsea, too. She’s my half-sister.

Kwa upande mwingine Bill Clinton ameagizwa kupima “DNA” ili kubaini ukweli wa mkasa huu.
Previous
Next Post »