WILL SMITH ANAOGOPA MAJI
Mwimbaji na muigizaji mkongwe Will Smith amesema kuwa kutojua kuogela kuna mnyima uhuru na ndio imekuwa ni moja ya udhaifu wake
Alisema pamoja na eneo alilokuwa anaishi Philadelphia kuwa na sehemu nyingi za kuogelea hakujifunza kufanya hivyo kitu ambacho kina mnyima uhuru sasa wa kuogelea kwenye maji mengi
Alisema kuwa anapenda kuangalia watoto wanavyokuwa wanaogelea lakini yeye anashindwa kufanya hivyo
EmoticonEmoticon