Muigizaji Akshay Kumar ni mmoja wa wasanii walikumbwa na bahati mbaya ya kupata ajali wakiwa kazini baada ya kukanyagwa na gari alipokuwa akirekodi
Kumar alikuwa akirekodi filamu mpya iitwayo Thupakki , katika vipande vya filamu hiyo kulikuwa na kipande ambacho alitumia gari kabla ya kutoa mguu dereva alimkanyanga
EmoticonEmoticon