MWILI WA NGWAIR KUWASILI DAR JUMAMOSI



Mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair' kuwasili Jumamosi nchini Tanzania kutoka Afrika Kusini ambapo siku ya Jumapili utaagwa jijini Dar es Salaam na kwenda kuzikwa siku ya Jumatatu Morogoro
Previous
Next Post »