MTOTO WA MIEZI 3 SONGEA AOKOTWA AKIWA AMETUPWA.


WAGANGA NA MAOFISA WA POLISI WAKIWA WAPO HOSPITALINI HAPO KWA LENGO LA KUMUONA NA KUMJULIA HALI
MTOTO ALIYEKUWA KATUPWA.
Mtoto huyu aliyekuwa katupwa amefahamika kwa jina la Bahati upendo mwenye siku 3 inaelezwa kuwa amefanyiwa unyama huo na mama yake mzazi, ambapo mama yake huyo  ametekeleza kitendo  hicho baada ya kujifungua.

Tukio hilo ambalo naweza kuliita la kikatili kwa mama huyo, linaelezwa kuwa alimweka mtoto huyo kwenye mfuko wa mbolea na kumtumbukiza ndani ya shimo, ambapo mtoto huyo alichukua takribani siku 6 bila   kula wala  kunywa hadi walipo tokea wasamaria wema wakamuokoa ili kunusuru maisha yake
Previous
Next Post »