Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Akiwa Kweye Mkutano wa Wake Wa Maraisi Afrika

 

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland

  Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika (AU) wakiwa kwenye mkutano wao mkuu wa kawaida huko Addis Ababa tarehe 26.5.2013.  Waliokaa kutoka kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Madam Roman Tesfaye, Mama Salma Kikwete, Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland, Mama Hadidja Aboubaker wa Comoros, Mama Lordina Mahama wa Mke wa Rais John Mahama wa Ghana, Mama Janette Kagame, Mke wa Rais Paul Kagame wa Rwanda na wa mwisho ni Mama Margaret Kenyatta, Mke wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.

 Baadhi ya wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika wakiwa kwenye mkutano wao mkuu kwenye Makao Makuu ya Jumuia ya Afrika huko Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 26.5.2013.

Previous
Next Post »