KESI YA LADY JAY DEE YAAHIRISHWA MPAKA TAREHE 13 JUNE
Wakili wa Jay dee Mr Mnyele Gabriel akiwa na mteja wake mara baada ya kutoka mahakamani na kesi kuahirishwa mpaka tar 13 mwezi wa Sita.
kesi ya mwanadada lady jay dee yaahirishwa mpaka tarehe 13 june kwa kile kilichoelezwa kwamba ni kutoa nafasi kwa upande wa washitaki kujibu ili kesi ianze kusikilizwa.
EmoticonEmoticon