Kwa hapa kwetu east africa inaoneka huu ni msimu wa mastaa kudate ama kuoana na mastaa wenzao,sasa basi,kwa wafatiliaji wa muziki wa pande hizi hakuna asiyemfahamu mwanadada Julian kanyomozi wa nchini Uganda
Na kwa mfuatiliaji wa tusker project fame hakuna asiyemfahamu judge Ian,judge ambaye kwenye msimu wa tusker all stars alipewa makavu na mzee mzima Hemed phd, story toka area code 256 na 254 ambazo hazijathibitishwa rasmi na wahusika zinasema kuwa wawili hao wapo kwenye plans kuwa mwili mmoja kwa kuoana.
Kwa mujibu wa mitandao ya nchi hizo mbili,Juliana hit maker wa “usiende mbali” ana miaka 35 na ni mama wa mtoto mmoja ameshaandaa makazi nchini Kenya aliko mzee Ian na inadaiwa anahamia huko soon,unahisi nini hapo??wacha tusubiri na tuone.

EmoticonEmoticon