Hiki Ndicho Alichosema Producer P-Funk kuhusu Lady Jaydee

    

 

Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.
Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.

Hizi ni Tweet za P-Funk Majani za May 4:

@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!

Previous
Next Post »