DULLAH WA PLANET BONGO APATA MTOTO WA KIKE USIKU WA JANA SIELEEEEWI KASHA FANYA YAKE HONGERA DULLAH

 

 

 

Tarehe 29 mwezi wa 5 itakuwa ni tarehe isiyosahaulika 

kwa mtangazaji nguri wa kipindi cha PLANET BONGO ya EATV

 bwana Abdallah Ambua au almaaruf kama Dullah Planet baada ya mke 

wake kipenzi Amina Kagambo kufanikiwa kujifungua salama mtoto wao wa kwanza

 katika Hospitali ya Mikumi mnamo wa Majira ya saa tatu na nusu usiku huu...

Mtoto huyo ni wa kike wamemtunuku jina la Tamirah

this is diamond inawapongeza na inawatakia 

wanandoa hawa Upendo na mafanikio mema katika kumlea na

 kumkuza binti yao kipenzi....

Previous
Next Post »