Ujenzi
wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Galula ukiendelea
|
Bw
Chris Zacharia akiwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kisa Bw Usaje Kasitu
wakikagua maendeleo ya utengenezaji wa Madawati 32 yaliyofadhiliwa na Without
Mother Organization (Tanzania) na Občanské sdružení Bez Mámy (Czech
Republic)
Pia Shule ya Msingi Kisa ya Wilaya ya Rungwe imepewa msaada wa madawati 32
Shirika lisilo la kiserikali la Jijini
Mbeya WITHOUT MOTHER kwa kushirikiana na shirika mwenza na Jamhuri ya Czech
Občanské sdružení Bez Mámy wametoa misaada mbalimbali kwa shule za wilaya ya
Chunya, Rungwe na Mbarali ili kuboresha elimu mkoani
Mbeya
Akiongea na Mbeya yetu Mwenyekiti wa
Without Mother NGO na Mratibu wa miradi ya Africa ya shirika la Občanské
sdružení Bez Mámy Bw Chris Zacharia amesema wametoa TZS 1,170,000 kwa shule ya Msingi Galula kwa
ajili ya Ujenzi wa Darasa la awali
Picha zote kwa hisani ya WMO|
|
EmoticonEmoticon