Avril kwa sasa amegeukia upande wa kuigiza


Avril kwa sasa amegeukia upande wa kuigiza, ambapo baade mwaka huu ataonekana kupitia series inayoitwa "Noose of Gold" itakayokuwa ikiruka kupitia channel ya DSTV. Ameongea na mtandao wa Ghaflais, na kusema kuwa bado wanarekodi na sasa wamefikia season ya 5, ambapo anaigiza kama pusha wa madawa ya kulevya. "sijawahi kabisa kudili na madawa ya kulevya, najifunza ulimwengu huo kwa sasa ili nifanye vizuri katika series hiyo." amesema Avril.
Previous
Next Post »