MJUE "MARA" STAA WA TAMTHILIA YA "MARA CLARA".


Jina kamili: Kathryn Chandria Manuel Bernard (MARA)
Kuzaliwa: 26 March 1996 (miaka 17) huko Cabanatuan City , Nueva Ecija, Philippines.
Ni mtoto wa mwisho kweny
e familia ya watoto wa nne ambao ni
Kristine Chrysler Bernardo anafanya kazi Emirates Flight Dubai, 2. Kristella Carla Bernardo ambaye ni Nesi, 3. Kevin Carlo Bernardo ambaye anasomea udokta (Dentistry).
Baba yake ni Teodoro Bernardo (mfanya biashara) na mama yake ni Luzviminda Bernardo (mfanya biashara)
Tabia:
mpole, mcheshi, anapenda kupika, na kula, na ni mwenye huruma
Ndoto: ndoto zake kubwa ni kumaliza masomo yake salama na kuwa mwigizaji bora duniani
Vitu anavyoogopa:
Mende, na panya.
Shule/Chuo: OB MOntessori center Inc.
Kipaji: kuigiza, kuimba, kucheza na urembo
Pia anamkataba Star Magic
na ABS-CBN yeye pamoja na Julie (Clara) na ndie rafiki yake mkubwa sana wa tangu utoton, wakiwa wanaendesha wote kipindi cha watoto.
pia ni mshindi wa tuzo hizi hapa....
2011
1. Yahoo! Philippines OMG! Awards
Best Young Teen Actress
2. FAMAS Awards
German Moreno Youth Acheivement Award
3. MMFF Awards
Best Actress
2012
4. Yahoo! Philippines OMG! Awards
Most Promising Actress
5. Yahoo! Philippines OMG! Awards
Breakthrough Actress
6. ASAP Pop Viewer's Choice Awards 2012
Pop Fansclub (KATHNIEL)
7. Candy Style Awards 2012
Most Stylish BFF Awards with Julia Montes
8. Mag 100 Most Beautiful Stars
Newbie
9. Star Magic Ball 2012
Breakout Style Award with Daniel Padilla
10. Mag Most Influential Celebrity on Social Media
11. Teen Choice Awards
Best Teen Drama Actress
Previous
Next Post »