KAMA HUKUONA PICHA ZA HARUSI YA MKWERE TAZAMA HAPA



"mkwere" na bi fatma wakiwa katika pozi matata la harusi............
sio njiwa tuu hata wao walifanya pia............


                                     hapo "mkwere" utamtaka..... msosi tena.........
 sio komedi tu hata viduku vilipigwa....... hahahahaha...... bwan harusi huyu jamani..... kasheshe.

Ndani ya ukumbi wa delux hotel sinza, dar es salaam. Usiku  huo wa ijumaa  tar 30 december 2011 hakika vifijo, chereko, shangwe nderemo na vigelegele vilitawala kila kona ya ukumbi huo huku watu wakivunjika mbavu kwa vituko vya harusi hiyo ya comedian matata hapa bongo, Hemed Maliyaga “mkwere” kutoka kundi la mizengwe ambao Igizo lao hurushwa kila siku ya jumamosi na kituo cha ITV.
Hapo juu unaweza kuona baadhi ya matukio yalivyojkuwa yakinogeshwa.
Previous
Next Post »