KENYATTA ATANGAZA RASMI BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NCHINI KENYA.

 


Uhuru Kenyatta - Rais wa Kenya

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza baraza jipya la mawaziri lenye watu kumi na wanane, baraza ambalo limekuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa na raia wa nchi hiyo Tangu alipoapishwa kushika kushika uongozi ikiwa ni awamu ya nne.
Rais Kenyatta na Naibu wake William Rutto wamekuwa wakiwaahidi wananchi wa kenya kuwa wataunda safu yenye viongozi wachache, lakini iliyobora kwa lengo la kuweza kuhimili majukumu ya kuiendeleza Kenya na watu wake.

Kufuatia ahadi hiyo, Hivi karibuni Rais Kenyatta alitoa muundo wa wa serikali yake aliyotarajia kuiunda , ambapo alipunguza wizara kutoka 44 zilizokuwepo katika utawala wa mtangulizi wake Rais Kibaki na kubakiza wizara 18.
 
Endelea kufuatilia kujua majina ya mawaziri hao
Previous
Next Post »