JOHARI AFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA RAY...ASHANGAZWA NA KINACHOENDELEA KWA SASA KATIKA VYOMBO VYA HABARI... ASEMA YEYE NA RAY HAWAWEZI KUACHANA

 


MSANII JOHARI
Msanii wa filamu tanzania aliyeitangaza vyema tanzania nchi za nje akiwa na wasanii wenzie kama Marehemu kanumba na Ray kigosi msanii blandina chagula ama Johari amefunguka na kuweka wazi kila kitu kinachoendelea kati yake na ray.

Johari amesema kwa kipindi kirefu sasa amekuwa chini ya mikono ya msanii huyo mkubwa na amefurahiya uwepo wake kwani amemtaja ray kama kiongozi bora na mwenye kujua anachokifanya,Johari amefika mbali zaidi na kusema anaamini kuwa kufika kwake hapo alipo hii leo ni kwaajili ya mwenyezi Mungu na katika binadamu basi ray amefanikisha kwa asilimia kubwa kuwa johari wa leo.

JOHARI AKIWA KAZINI KATIKA FILAMU YA SISTER MERRY

Johari amesema uhusiano wake na ray ni wa kazi zaidi na hakuna jipya wala la zamani ndani ya pazi Akichapa stori na thesuperstarstz maeneo ya kijitonyama alipokuwa anashuti msanii huyo anayeaminiwa sana haswa katika scen za kulia au kuonewa amesema kuwa yeye na ray ni wa kurugenzi wa kapuni ya RJ Kampan na hawana uhusiano wowote na anashangazwa na maneno ya kila siku kuwa yeye na ray ni wapenzi,,,,Unajua mimi na ray ni wakurugenzi wa RJ Kampany sasa nashangaa watu wakizusha kuwa ray ni mtu wangu kimapenzi ,nataka watu wajue ninamuheshimu sana ray na yeye ananiheshimu sana kwa hiyo hatuwezi kufika huko amboko watu wanadhani,sisi tunafanya kazi kwa ukaribu sana na hatuwezi kuachana katika kazi ila kuhusu mapenzi kila mtu ana haki na hakuna wakumuingilia mwenzi kwakuwa kilichotuweka pale ni kazi tu na sio mapenzi

Mwanadiishi wetu alimuhoji johari amejisikiaje baada ya kusoma habari za Bosi mwenzie kuwa anataka kuowa mwanamke wa benk,kwanza alicheka sana kisha akasema,, sasa kaka unadhani mkurugenzi mwenzangu anataka kuowa mimi nitajisikiaje zaidi ya kumtakia kila la kheri maana anafanya jambo jema sana ili aachane na ukapela nae aishi maisha ya ndowa.Alipoulizwa swali la kizushi kuwa wewe utaolewa lini johari alijibu kifupi kuwa siku ya kuolewa kwangu utajua tu hapatakuwa na siri.



DIRECTOR WA FILAMU YENYEWE ADAM FILIPI KUAMBIANA AMA BALOTELI,AKIWA NA MMOJA WA WASANII WA FILAMU HIYO
Kwasasa johari ameonyesha kuwa busy tofauti na mwanzo kwani yupo location anachapa kazi aliyowashirikisha mastar kama Baba haji Adamu,Neshi Batuli,miss tanzania salha israeli,dula wa blanet bongo,slimu omari na wengine wengi mzigo unaosimamiwa na director Adamu Filipi Kuambiana alimaarufu kama Balotel wa bongo
Previous
Next Post »