JAY Z, BEYONCE NA MTOTO WAO BLUE IVY KWENYE GOODTIME HUKO UFARANSA

 
 




Wakati ile Event kubwa ambayo imewakutanisha wale mastar ambao wametoklezea katika orodha ya Time ya wati 100 wenye influence zaidi duniani ikiwa imefanyika huko New York Marekani na Rapa Jay Z akiwa ni moja kati ya watu wakubwa waliomiss tukio hili, Tayari imeshafahamika ni kwasababu gani mkali huyu hakuwawepo katika tukio hili kubwa.

Jay Z pamoja na Beyonce na mtoto wao Blue Ivy, kwa mara nyingine kati ya zile chache sana ambazo zimewahi kutokea, wameonekana waziwazi huko Paris Ufaransa wakiwa wanapata msosi wa mchana katika mgahawa mmoja maafuru, ikiwa ni Tym ya pamoja ya familia mbali na majukumu mbalimbali ambayo mara nyingi huwa yanawaweka mastar hawa mbali mbali.

Previous
Next Post »