1.LADY JAY DEE
Mwanadada JIDE ama binti machozi ameweza
kuongelewa sana kama msanii anayeheshimika sana tanzania kutokana na idadi kubwa
ya watu walio hojiwa kumtaja yeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana
tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi kipya
2.PROF J
3.FID, Q
Huyu ni msanii aliyezungumziwa kuwa ni mpole sana mkinywa na hufanya kazi zake kwa umakini mkubwa,Ni mtu apendaye kufikiri jambo kwa umakini sana kabla ya kulitenda,Pia kazungumziwa sana na idadi kubwa ya walio hojiwa
4.A.Y
5.MWANA FA
Binamu ama waweza sema pacha wa A.Y kutokana na kuwa na
urafiki wa karibu sana na wa muda mrefu na A.Y.mWANA FA pia katajwa kwa idadi
kubwa ya wadau kama mtu anayeheshimika sana nchini hasahasa katika nyanja hii ya
muziki wa kizazi kipya.
6. JUMA NATURE
Juma Nature ama kiroboto, ni mtu asiye penda
makuu pia kazungumziwa kama mtu anayependa kuona watu wote wakiwa sawa na
hapendi kuona manyanyaso kwa watu wengine sababu ya kuto kuwa na uwezo.Wamemtaja
kama mtu mwenye nyota ya kupendwa sana na watu kwani yaonyesha anaweza akakaa
hata miaka kadhaa bila ya kutoa wimbo wowote ila pindi apandapo tu jukwaani watu
hufarijika hata aimbapo nyimbo za zamani.
Imefanyiwa utafiti na kuandaliwa na Timu nzima ya www.SHUKRANI THE CHOICE
Imefanyiwa utafiti na kuandaliwa na Timu nzima ya www.SHUKRANI THE CHOICE
EmoticonEmoticon