Diddy
Polisi na Helikopta mbili za polisi walivamia Nyumba ya
Diddy iliyopo Los Angelos Marekani Usiku wakuakia Leo . Lakini habari zilizotoka
kwenye vyomba vya usalama zilisema kuwa tukio hilo lilikuwa la bahati
mbaya
Habari zilizotoka polisi zilisema kuwa Kuna Mtu
alipiga simu polisi kuwa ndani nyumba ya Diddy kuna mtu anarusha
risasi.
Baadae polisi na wakubwa wengine walipojua kuwa ni
mchezo mwingine unaofanyiwa wasani wakubwa marekani waliamukuondoka katika
tuukio hilo.
TMZ wanasema kuwa waliambiwa kuwa Tukio hilo lilikuwa
limepangiwa kufanyiwa kwa muigizajiSteve Carell ambapo nyumba yake ilikuwa
imezungukwa na Polisi wengi kwasababu ilikuwa karibu na nyumba ya
Diddy.
Hapa ndio nje kwa Diddy
Inasemekana Diddy sio staa wa kwanza kufanyiwa tukio
hilo, kuna baadhi ya mastaa walishawahi kufanyiwa hivyo kama vile nyumbani kwa
wazazi wa Miley Cyrus mwaka jana Walifanyiwa kitendo hicho hicho.
Polisi wamesema kuwa matukio hayo yakutishia ya mekuwa
ya kudumu na sugu sasa wamesema watamshitaki kwa sheria kali kwa yeyote
atakayefanya tena tukio kama hilo.
EmoticonEmoticon