By platozoom
Ndiyo nami niko Mbezi kuna mabomu ya machzi na risasi zinasikika.
Chanzo ni wananchi kadhaa jana wakiwa kwenye kikao cha kilevi kutofautiana na Mwanajeshi mmoja na kuzuka vurugu ndogo. Leo wanajeshi wamepita mtaani kuwatafuta wabaya wao, Wananchi walipowaona wakaanza kukimbia, kando walimkuta kijana dereva wa bajaji, mmoja wa askari akaaanza kumpa kipigo (kimsingi hakuwamo kwenye ugomvi) na kupoteza maisha.
Baada ya hilo Wanachi wakamkimbiza yule mwanajeshii mpaka kwake na kumkabidhi Polisi. Lakini wakati wa sekeseke
la msiba Raia wakasema haiwezekani atuulie Kijana mwenzetu. Wakaandamana hadi kituoni ili kumchomoa mbaya wao.
Na hali ya mambo ndiyo ikawa hivyo.
CHANZO JAMII FORUM
EmoticonEmoticon