Ikiwa imepita wiki
moja tu tangu picha za muonekana mpya wa Bob jr kusambaa, akiwa amepaka rangi
nywele hasa hasa kwenye kiduku, leo hii pia amanitumia picha za muonekana wake
mpya kwa mara nyingine tena akiwa amekata nywele zote. sijui inawezekana akawa
anaanza kupitia process ya kukua au ndugu wamemshauri hivyo maana bado
anaendelea kupiga show zake nchi ambayo baba yake na wadogo zake wanaishi. leo
hii Jr yupo Denmark, kesho atakuwa Norways kwenye show ambayo alitakiwa kupiga
Ommy Dimpoz na baada ya hapo ataelekea Swizerland siku ya jumapili na
kukamilisha show zake zote. Chanzo:Dj fettyblog
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon