Swahiliwood
actors Jimmy and kupa jana waliamua wote kwa pamoja kufunga ndoa na wachumba
wao wa siku nyingi hivyo kufanya sherehe ya ndoa zao katika siku moja. Jimmy
alimuoa Salma na Kupa alimuoa Mary. Many Swahiliwood celebrities were there to
support their fellow actors, actor Muhsin Awadhi( Dr. cheni) ndiye alikuwa MC wa
shughuli hiyo.
Mabwana na mabibi
harusi Licha ya mastaa wengi kuvaa vizuri na kupendeza
lakini Irene Uwoya na Mainda walikuwa ni miongoni mwa mastaa waliovaa
vibaya/worst dressed stars by exposing sehemu kubwa ya matiti yao. Uwoya ambaye
ameshindwa kujirudisha katika shape yake yenye mvuto tangu ajifungue kwa
kujiachia kunenepa alivaa gauni ambalo halikumpendeza na pia rangi ya gauni
haikumkaa vizuri yeye kama star. Mainda anayedai kuokoka alivaa kigauni kifupi
kilichoonekana kumpa shida katika pose akiwa amekaa huku kikiacha sehemu ya
matiti yake na kuonyesha tatoo zake. Angalia picha hizo.........
EmoticonEmoticon