ANGALIA PICHA ZA MSICHANA ALIVYOCHUKULIWA MATEKA NA KUTUMIKISHWA KINGONO.

 



Kijana huyu mkazi wa kibaha kijiji cha kidimu anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumteka msichana wa kijijini hapo na kumfanya mateka wake.Binti huyo alipotea kwao kwa miezi minne na kupatikana juzi taehe 26 baada ya kupata upenyo na kutoroka.Hawa vijana wametoka Kigoma na walikuwa Kibaha wakitumika kama walinzi katika mashamba ya watu.
Previous
Next Post »