HEBU CHEKI MJENGO ALIOJENGA BABU WA LOLIONDO BAADA YA KUMCHANGANYIA...!


Hapa ni kwake Samunge Loliondo Arusha na hapo kulia alikua ananionyesha mabomba ambayo yatatumika kwenye mpango wake mpya ambao atauzungumzia kwenye AMPLIFAYA ya leo CLOUDS FM kuanzia saa moja usiku, ataizungumzia pia hiyo nyumba na mali nyingine anazomiliki.Kaandika Millard Ayo kwenye web yake leo

Previous
Next Post »